MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Friday, November 05, 2010

UCHAGUZI 2010 IN PARADISE CITY HOTEL

Kila mtu alikuwa akijiiuliza kwa makini sana ni wapi maokeo ya Uraisi wa Jamuui ya muungano watanzania yalikuwa yakitangazwa na tume , Kiukweli kizuri kinajiuza na kibaya ....................... wadau si pengine Ni Paradise city hotel waliweza kufanikisha mambo yote haya tukiwa kikamilifu katika soko la hotel na kutaka kutoa Huduma Bora kulingana na viwango vyakimataifa tuliweza kufanikisha conference hii kwa takribani muda wa siku nne ndni ya ukumbi wa kisasa wa Serengeti ball Room



 Walipamba namana hii tangia nje

 Jamani karibuni ndani
 mamabo yalikuwa mazito kiasi cha kutosha mitambo yakimataifa iliwekwa kila kona


 Jaji mstaafu Akitangaza matokea ya baadhi ya majimba ya Urahisi
tuuuu ndo yalikuwa ndani ya Paradise City



 ITV nao walikuwa liv tuliwapa nafasi yakufunga mitambo yao ili wawe
live kutoka Hapa Paradise City Hotel



Sikuwa mbali kuweka mitambo ya Conference Room Tayari tayari kwa ajili ya Kutangaza
ITV LIVE



Mmmh sikuwa natangazaa jamani ni kutest mambo tuuuuu

Waandishi mbali mbali wakikusanya Data za nani kashida jimbo lipi na kwa kura ngapi

Hayo ndo mambo ya Paradise City kiumkweli mambo yalikuwa makubwa sana hoteli hii inafaha kuitwahotel kwani imejikamilisha  sana na  inazidi kushika no moja kwa kila kitu hapa town 


KARIBU PARADISE UFANYA MKUTANO AU SHEREHE YAKO KUONEKANA YAKISASA KABISA 







No comments: