MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Monday, December 13, 2010

PARADISE CITY WAWAFANYIA SUPRISE

Paradise City hotel ya Dar es salaam waliwafanyia party ya kuwasuprise wachezaji wa Uganda
katika party hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa serengeti kulikuwa nawachezaji wa timu nzima na
kwa ushujaa walisema asiyekubali kushinda si mshindani

Goal keeper wa Uganda akiwa na lema one


 MD wa paradise city akiwashukuru na kuwatunuku wachezaji wa Uganda
 kochi wa Uganda akipata Sapa




TUNAWAJALI NA KUWAPENDA TUNATAMANI WOTE TUNGEKUWEPO NA NYINYI NAMAANISHA TIMU ZOTE

No comments: