MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Sunday, September 20, 2009

IDD MUBARAKA


Ni mara nyingine tena na mwaka mwingine tunapo gongana na ndugu zetu huku wao misikitini kuswali sisi kanisani ni furaha iliyojue kwa wale waliokuwa wamefunga na sasa wanasheherekea Idd mimi nawapa big up na mkono na mguu wa Idd na tuendelee na yale tuliyo yafundisha katika funga zetu