MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Tuesday, February 02, 2010

JAMNI VITUKO VYA A TOWN (ARUSHA )


Jamani ni majuzi tu nimetia maguu kwenye jiji langu a town kutokea huko job siyo ishu sana kwani hata huku jua linawaka kama kawa yaani ni balaa zaidi ya dar , nilifika mida ya jioni na basi moja la da exprs jamani si haba na mimi nikipanda 25 tu bwana hahahahah ok wakati niko kwenye mizunguko yangu nulikutana na vituko kadhaa ila leo nimebeba kamera muone wenyewe watoto wa a topn walivyo


Huyu ni mmoja kati mabinti wa mtaani kwetu ila vituko sasa

sasa hapa nilimwambia tulia nikupige picha heti ilo ndo pozi lake mmmmh

huyo sister duu juzi tu alikuwa anapenga mambo fulani upande wa kushoto sasa nikikutana nae anataka nimwambie  mambo vipi wakati ni mdogo wangu ile si mbaya mmh



jamani sasa masister duu wametoka kwenye maji mmh blaa

mmh thithemi mapozi Jesca rrrre rewnd

Hapa kaka Shirima akiwa anauza maandazi mmmh

 Huku kwetu hakuna diwani wala mbunge wao wako dodomaa si umeona hako ni kaseheme ndani ya visehemu vingi vingi


Sasa kilichonivutia zaidi ni hapa mianzina kwenye mataa jamani bado
yaani watu full kushangaa mimi sikuwa mmoja wao nilikuwa nachekaaaa kwa sana
embu imagine jamaa kaajiriwa kuwafundisha lakini bado awaelewi si kituko sasa

Trafk wanakazi ya ziada kuvusha watu na kuakikisha awagogwi jamani
ila nimegundua trafc nao wanashagaa watu wanavyo fanya vituko
watembea kwa miguu wakivushwa bara bara

Tembea sasa kaka utagongwa


gari ili lilikuwa na kazi ya kutanaza tu sasa wangaramtoni wavuke
sasa tengeru twende jamaa amejitahidi kwa kweli jamani
Yaani utzani anatangaza mpira i wish ningekuwa na video kamera

Mwisho pongezi kwa Jk ila izi si siasa za kuelekea uchaguzi mkuu kweli mmmh mi sijajua all da year walikuwa wapi mmmh

6 comments:

Anonymous said...

kaka moja apo navyokujua ata wewe ulikuwa unashangaaaa tu maana wewe ukiona mambo yetu yaleeeeeee unatembea mikono nyumaaaaaaaaaa, ok mapumziko mema usisahau kutuletea zawadi kutoka A Town, ila tuna kumissssooooooooooo sanaaaaaaaaaaaaaaa

Anonymous said...

dah!ar hiyo!!!napamic

Anonymous said...

Jaman a town rahaa,mianzn mataa,sanawar mataa.ila kmbembe kwny kuvka na c wavukaj tu hat madereva.anko zngu masai ndio ssyeeee

Anonymous said...

Mwana ndio ki2 cha a town,naรถna pande za mianzi,kumebadilika kweli,

Anonymous said...

Mh iko pouwa hiyo.

poWEROFGODFIRECHURCH.BLOGSPOT.COM said...

jamani mimi nishagaee mtaa tena wakati ninayahona kila siku labda kushangaa wamasai wanavyo fundisha jamani but it 2 funny natamani nngekuwa na video camera ili unisome vizuri ha haha haha ha ha duu