MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Friday, September 18, 2009

IFTARI NDANI YA PARADISE CITY HOTEL



Ni weekend nyingine tena wadau wangu tunapokutana kimaamndishi na kupeana mawili matatu yanayoendelea ndani ya bogo dar es salaam na kwingineko kote ni jana tu mfungo wa 28 ndipo shirika moja la ndege lilipo kuwa linafuturisha jirani zangu wa kidini nilipata bahati ya kufanya nao kazi na kusikiliza mawaidwa kutoka kwao kwa kweli mwezi ni mtukufu na ningekuwa na uwezo basi ningeomba tuendelee ivi na miezi mingine




Sweet alikuwa ndani ya desk akisubiri wageni waingie mmh makubwa dia



wageni waalikwa ndani ya ukumbi wa iftari





Kaka Nuru na Shuma waliangalia set up ya ukumbi kwa makini sanaaa





Shemeji nae hakuwambali kuakikisha mambo yanakwenda kama yalivyo pangwa




ndiyo mambo ya kea air ndege



Duty Manager alikuwa makini kuakikisha vijana wanafanya sawa

Ndipo ilipo fika wakati wa mawahidha ndipo shekh alipo sema kwamba wale wanaofunga na wanafikiria kufanya madhabi watakuwa ni wanafiki haya si maneno yangi ni shekh Idd alisema



Shekh na mawaidha




Hapa   nilipapenda Acho aliagizwa kahawa na mgeni na wakati huo huo wageni waaga , ndipo alipo anza kumsaka mgeni wake ili aywe alicho kiagiza sijui kama alimpata kwa kweli asha alipaki kucheka tuu



Wala awakuchukuwa muda saana walimaliza na kuaga

Wagini waliondoka na nyuma vijana walipata iftari dinner ili waweze kuendelea na majukumu mengine ilikuwa safi nayo

Niliwaanga kwanza



Tina alikuwa kama anaswali


Shuma alibadilika na kuwa Issa mahakuli kaka


Hapa Asha hapa Shuma walifuturu kwa pamoja


Mimi niliwasindikiza tu ila wine alipuuuuuuu

Shekh Issa alifuturu nae

Haya huyo ndo Asha na Futuru

Ndivyo mambo ya mfungo wa mwisho mwisho 28 yalivyo kuwa ndani ya Paradise Hotel.

No comments: