MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Sunday, October 24, 2010

LEMA ONE IN CHICKEN HURT RESTAURANT AT MLIMANI CITY

Weekend hii baada ya kazi nilijiamulia taratibu kutoka na friends kwaajili ya Kudameee tulitafuta plac ulivu kabisa na upepo mwanana kama vile tuko beach hapakuwa pengine ni ndani ya Mlimai City Chicken Hurt Restaurant walikamisha sikuu ya jana kwa furaha

Watu walikuwa wengi maeneo haya screen kubwa ilikuwa ikionyesha mpira kati ya Arsenal na man city kulikuwa full mbaya  
 mazingira mazuri na yakisasasa


Lemaone na Diana mmmh Wine  
 Friend akienjoy Juice ya Maembe alininongoneza juice likuwa fresh mbaya
 This was my plate it was plater of Mix Grilled i never Dream o find a nice food like this n mlimani city food was realy presentable and every one of us enjoyed

 Lema one and friend enjoying nice food at chicken hurt restaurant
                               That was my page selection kilikuwa kitamu mbaya

No comments: