MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Wednesday, June 11, 2014

VIJANA NA TANZANIA YA KESHO

Shaloom wapoendwa katika Bwana
Receiveing certificate of the best employee of the year from our late Boss of Jb Hospitality Ltd

It is another day that the Lord our Papa as given to us , kwa takribani week mbili Bwana alinipatia kofia nyingine ya PRESIDENT OF YOUTH IN CITY HARVEST INTERNATIONAL CHURCH mara nyingi nimekuwa nikiomba na kutamani vijana wa Kiafrica special Tanzania kubadilika na kuwa na mawazo chanya kwaajili ya maendeleo yao na familia zao i real believe vijana ni taifa la leo , na kesho watakuwa wazee so they are our leader as of now . Vijana wengi walioko mabungeni na maofisi yakueleweka wamesonga mbele simple kwasababu ya elimu kidogo waliyoipata kutoka kwa famila zao ama kwa jitihada zao binafsi binafsi . Mara kadhaa wakati naongea na vijana huwa napenda kusisitizia hadhima ya wao kujitambua , vijana wengu haswa wanaoajiriwa kwa mfumo wa Tanzania wanaajiriwa kwa ujira mdogo wakati wa mapatano na baadae kuanza kulalamika baada ya kitambo tu . Ajira za namna hii usababishwa na ukame w njaa ndo maana vijana wengi wako tayari hata kufanya kazi amabazo sizo wlizosomea kwa wakati fulani . Unajua katika swala la kawaida mfumo wetu wa uongozi unatulazimu kukubali mishahara haba ili kujikimu katika maisha  . Sijajua mfumo huu utaisha lini but i dont want to go deep in that maana kwa imani yangu naamini hata sisi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe bila kutegemea wanasiasa vijana na wazee , mfumo wa siasa zetu si mzuri sana wa kuleta mabadiliko amabayo vijana wanayataka kwa haraka kulingana na jinsi maisha yanavyokwenda kwa sasa . That is to say if you dont think aoutside the box your will struggle your familly will do the same mpaka na mjukuu wako kwasababu ya wewe kama kijana . Siyo lazima Nyumbani wakuandalie elimu bora ndo ujione wewe ni mtu kati ya watu you can still do it without PHD . Sidanganyi kati ya watu wengi niliowaona wakifanikiwa sijaona hata mmoja wao akiwa the holder wa PHD ninawajua hata the the awajui it is about the blessing and how you ask God to provide to you your portion , God he greeted man for the reason , he greeted us and akasema  in Genesis 1
26 And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth. 27 So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them. 28 And God blessed them, and God said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth, and subdue it: and have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over every living thing that moveth upon the earth. Ukiangalia tafsiri ya maneno hayo kwa lugha nyepesi tumeumbwa ili tutawale Kila kilichopo duniani a, atujaumba tuteseke na vinvuli vya dunia hii wandugu , Do not allow your past to define your future in any way ...... Katika makosa ambayo tunayafanya na kushindwa kujitoa humu na tunabaki kulaumu tu hili ni moja wapo kati ya hilo kosa . Tunakubaliana mshahara fulani mdogo na kisha baadae wenzetu wanao toka nje wakilipwa kitita kikubwa tunafanya visa na kupunguza ufanisi wa kazi nimejaribu sana kufanya uchunguzi mara nyingi Manager au staff wa kawaida mwenye mafunzo sawa na mazawa huwa wanatofautiana sana mshahara in some company it more funny kwani hata mtu mwenye ujuzi mdogo anaweza kukushinda kwa mshahara kama aujui , but kosa ni la nani sasa embu twende kwenye maandiko kidogo Kutoka Mathayo 20
1  Kwa maana ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mizabibu.
2  Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
3  Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi;
4  na hao nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo haki nitawapa. Wakaenda.
5  Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda, akafanya vile vile.
6  Hata kama saa kumi na moja akatoka, akakuta wengine wamesimama, akawaambia, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?
7  Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, enendeni nanyi katika shamba la mizabibu.
8  Kulipokuchwa, yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ujira wao, ukianzia wa mwisho hata wa kwanza.
9  Na walipokuja wale wa saa kumi na moja, walipokea kila mtu dinari.
10  Na wale wa kwanza walipokuja, walidhani kwamba watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.
11  Basi wakiisha kuipokea, wakamnung'unikia mwenye nyumba,
12  wakisema, Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu, nawe umewasawazisha na sisi tuliostahimili taabu na hari za mchana kutwa.
13  Naye akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?
14  Chukua iliyo yako, uende zako; napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.
15  Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema? Embu tafakari kwa hali tofauti hawa watu walikuwa awana cha kufanya na walipatana vizuri sana lakini ukiangalia kwa makini mwisho wa siku hawa jamaa walilalamika why ? walihisi mfumo wa ulipaji aukuzingatiwa na kusahau mapatano na Boss wao

Nini maana yangu kwa vijana wenzangu tujitahidi kubadilika sana kila kiyu kiko juu kodi ya kuishi mijini hiko juu tuwe na umoja wa vikundi tofauti tofauti ili kujigomboa na ujira usiofaa , tuwe wajasiri mali na kuweza kumiliki ardhi ili kutawala nchi yetu yenye maziwa na asali wapendwa . Tusikubali hali hii kutuingiza kwenye vyama mseto vya magenge ya watu wanao sema wao ni vyama vya wafanya kazi kama serekali yetu aitujali hawa wengine ni matapeli tu ndugu zangu tuwe macho na tusigengeuke tukiamka wote tutaitaji vyama vya waleta maendeo . Hawa watu wa vyama moja watakucharg ada na ukiangalia rules wanazotumia ndo zatanzania without them we can stand on our on kama tukiweza kuwa na midahalo ya wazi na serekali na kupata vijana wenye kupambanua mambo kwa kina . Asanteni sana na Mungu awabariki vijana na kutupa maarifa ya kuweza kuchanganyua mambo mbali mbali kwa busara zaidi

Mwisho napenda san a kuwaambia na kuwa

No comments: