MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Saturday, April 26, 2014

MUUNGANO WETU

Nawasalimu katika jina la Yesu Kristo aliyeshinda mauti mwokozi wetu , aliyekufa msalabani kwaajili ya dhambi zetu wote wanadamu . Nisewe muongo napenda sana kumtumikia Mungu na najitahidi kwa hali na mali kuweza kupeleka injili mbele . Katika siku ya leo wengi tunasema ni muungano day kwa namna moja hama nyingine ni jambo jema ndugu kuungana na ni jambo jema tena hao kukaa kwa umoja tena kwa pamoja sijaona kama ni jambo la hatari hata kidogo ukisoma zaburi ya 133 inasema

1  Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
2  Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
3  Kama umande wa Hermoni ushukao milimani pa Sayuni. Maana ndiko Bwana alikoamuru baraka, Naam, uzima hata milele. 

Hakuna jambo jema kukaa kwa pamoja kwa umoja na niwakumbushe tu wakristo wenzangu jamabo la muungano lilikuwa ni jambo la kiagano na iwe ulikuwamo au aukuwamo nawe uu damu ya agano na nimuhimu kuenzi agano la hasha nchi waliyopewa babu zetu tutanyanganywa kumbukeni wana wa Israel na Agano la Mungu juu ya Ibrahim Mtumishi wake na katika agano ambalo tanganyika iliingia na zazibar alina sana tofauti na agano ambalo Mungu aliingia na Ibrahim so kupitia Baba wa taifa ili tuliweza kuingia kwenye agano na mapatano yaliyoko humu lazma tuyasome sijjajua duration ya agani hilo but i only know it was a covenant  . Na tukumbuke katika vipengele vya maagano ya nchi na watu wake ni ngumu sana kusaparate mambo hayo tulikula agano juu ya nchi na wazee wetu walichangaya udongo kama ishara ya agano waliloingia baina ya tanganyika na zanzibar hayo yalifanyika wakati wengine tulikuwa atujazaliwa na kisha tukazaliwa ndani ya agano uwezi kukwepa na kuanza kusema baba na babu walifanya makosa na kufanya muungano labda katika hali ya wewe kuanza kuutafuta uso wa bwana na kuangalia kama yashetani yaipita kwenye vipengele vya agano but i dont think that was there ndo maana Mungu katubariki na kila aina ya baraka . Nikuambie ndugu zangu hii ndo nchi ya ahadi kwa watanzania wote na muungano wetu u na baraka zote vungu vungu na vunja vunja la watu tofauti tofauti ni kwa maslai yao tofauti lets separate things as we go along mambo ya serekali moja , mbili au tatu wanajua wao faida iliyomo ndani yake lakini sidhani kama yana faida na mama yangu aliyoko Elikiurei Arusha au Bibi yangu wa machame moshi mmmmh please lets get back and tujue Bwana alitaka nini Kwa Mungu wetu hata dunia ingekuwa na rahisi mmoja kwake ni furaha maana sisi sote ndugu tusisahau maandiko na kuongozwa na siasa tu Bwana atashusha laana yake juu ya ardhi na kumbuka ardhi iliyo laaniwa aitatoa mazao kamwe . Tusiwe watu wapenda siasa kuliko Mungu wa Taifa letu tusimame na Mungu kisha yeye atuongoze si maswala yetu binafsi . Ardhi iliyoka katika agano ni ngumu sana kuibadilisha unless bwana ashuke na kuvunja mwenyewe mtavunjana ninyi kwa ninyi na kulaumiana hivyo hivyo .



 Kuna mambo mengi sana ya kujadili na yamsingi sana kupitiliza lakini tumekwamia hapo sehemu moja staki kusema kosa ni la nani ila najua shetani anataka kushikilia hapo hapo ili kwenye katiba yetu apitishe vilivyo vyake . Wewe uliyemkristo wacha ushabiki kisha soma maana ya agano atlist kwa upana kidogo ndo maana agano la kwetu la ndoa kuna maswali mtaulizwa na katika kiapo kile cha shida na raha usitegemee shida ikaja ukakimbia kumbuka duration ya agano lile ni mapaka kifo be aware na amambo ya maagano tusije mkosea Mungu . Ukisoma juu ya agano la Ibrahim na Mungu juu ya Israel utaelewa ni nini nachokisema juu ya agano la taifa letu na muungano wake 

Kuna kijana mmoja mpotoshaji sana na aliimba nakumbuka heti waliochangaya udongo wameshakufa sasa mnangangania muungano wa nini , kweli alafu yeye anajihita mkristo hapana anatushuudia uongo kabisa ni mpagani kabisa huyo tumia busara sana mkristo katika kuafakari agano hilooooooo 

MUNGU IBARIKI TANZANIA

No comments: