MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Wednesday, April 27, 2011

RAMSEY NDANIYA PARADISE CITY HOTEL



 Ilikuwa ni shangwe kubwa na Furaha isiyo na kifani kwa tasnia hii yetu ya uingizaji pale Paradise ilipofanya suprise coctail na msanii kutoka huko nigeria alkiyefikia katika hotel ya paradise City kwa shughuli za uigizaji


 Tulianza kumkariobisha kanumba na mkurugezi wetu alimpa mawaiza mawili matatu ambayo alihaidi kuyafanyia kazi ili azidi kusonga mbele




 Eneo lenyewe lilikuwa ni New Savanah lounge kwa wale amboa amjui sasa hivi savanah imepewa sura mpya kabisa katika kiota cha maraha
 lema moja nikiwa na ramsey ndania ya asavanah lounge
 Kanumba na Ramsey ndani ya Savvanah lounge

 Dada angela Bondo alimkaribisha Ramsey kwa ukarimu wa hali ya juu
 Haya kijana naye akapewa mawaidha na mkurugezi kweli ilipendeza

 Ramsey akiwa katika pozi ndani ya Savanah Lounge


 "Nawashukuru sana Paradise kweli hii ni Paradise nimetembea hotel nyingi duniani lakini napenda ni kiri huu ni ukarimu ambao kwa mara ya kwanza naupata hapa Paradise napenda niseme nitazidi kuja na nia na malengo nikufanya nellywood na bongohood kuwa kitu kimoja na ikiwezekana africa kwa ujumla Nashukuru sana "hayo yalikuwa ni maneno ya Ramsey






 Kikubwa napenda kumshukuru mkurugezu wa hotel ya Paradise kusema ukweli mimi kama kijana wake sikutegemea Thank you Sir haya ni maneno ya J J

 Picha ya pamoja na Bongo movie star









 Pacho ,Lema one na Nova

 Wewe nakuambia usisite kuja nyumbani kwa swala lolote na nataka uwe kama mwenzio sawa si kila siku kuigiza mapendeshee tu sawa kijana




 Hapo sasa kwa viburudisho wa bongo movie huyo ni Mtu mzima lulu


management of Paradise City Hotel 


 Vituko tu mdogo wangu heeeeee haya




No comments: