MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Friday, October 08, 2010

SUPRISE BIRTHDAY YA DADA LIDYA

Mambo yaliandaliwa mapema kabisa ndani ya summit restaurant kila mtu alikuwa buzzy siku nzima kuonyeshakwamba hakuna kinachoendelea kwa kuwea mama ni mmoja kati ya mameneger wakubwa kabisa tuliogopa angefika maeneo ya Restaurant muda wote ivyo watu walikuwa wakifanya kazi kubwa sana ya kumlinda
Meza alionekana kama hivi

 Dada Eda alifika mapema kabisa ila alipita njia za ajabu mpaka kufika restaurant ili tu asionekane na kuaribu suprise yote haya yaliafanya na MD wetu kushirikiana na watu wake wa karibu mambo hivyo familia yote ilikuwa ikijua
 mmmh Twi sasa kazi imeanza alikuwa katika harakati za kuakikisha dada aonekani kabisa
 Keki iliandaliwa kwa utaalamu wa kipekee kutoka kwa wapishi walio bobea katika idara hizo




 lema one alikuwa akichagua champeni  bora kabisa kwa ajili ya suprise ya Dada Lidya
 Vipi tena kaka lema one mmmh haaa nimekumbuka bendi wataimbaje
 wageni wanaingia sasa hoo Karibuni sana na shikamooo mama ndiyo maneno ya Mkurugeze wetu Mr Jb
 mama karibu sana  jamani huyo ndo mama mzaa dada kama ningekuwa maeneo fulani ningesema mama mzaa chema ha ha ha ha ha ah dada nieleeze mbona nyie tall mama mmmmmmh

 Tulizima taa zote kisha tukamuita dada lidya kwamba kuna matatizo ya umeme daaa kufika mlangoni tu lema one sikuchelewa nilifanya kweli na champeni yango wao happy b day dada mpendwa
 Dada Lidya hakuweza kuamini nini kilitokea alibaki tu kucheka ni upendo na furaha ya ajabu 

 Nilimpa champeni bado furaha ilimtawala na kicheko cha kupatikana ndani ya supriseeeeeeee


 kata keki tuleeeeeeeeeeee




 Mama alikuwa wakwanza kula keki
 akufuata dada

 Kisha kaka aliyemuachia ziwa mmmh raha jamani sijui mimi lini na mimiiiiiii

 Analiiii analiiiii analishwaaaa weweeee weeee weee kula si mwingine ni  General Manager Mr Joel alilishwa keki
 Twi a.k.a Swahiba alipewa keki
 kaka lema one daa mambo kama haya ayanikosi nilikula keki
 mama hakukubali naye alimlisha mwana
 Chef  Rama Baiyaaa alikula kitaba chake mwenyewe



 Jamani Familia Bora walifurahi kwa pamoja ndani ya Paradise City Hotel




 watu walifurahi sana


 Mtu na dada yake

 kama kawaida watu waliyarudi mangoma ya zamani

 sio mduara jamani ni Happy B day ya Dada Lidya


Hivyo ndivyo mambo yalivyokuwa jamani Katika Suprise ya B day ya dada Lidya 

1 comment:

Anonymous said...

jaman jaman,,,, doh ilikua raha vipi watu mli enjoy sanaa,, kwanini niliwai kuondoka !!!!!!! akh,, anyways happy b.day lydia wish u all the best in life,,,,,