Nnaemek Joshua Amaechi ambaye ni mwanamuziki pia mwalimu wa kucheza katika miondoko ya Salsa kutoka nchini Ireland weekend alikuwa ndani ya Savannah lounge kuonyesha vitu vyake
| mkali wa salsa ndani ya Savannah lounge palikuwa apatosho |
| Melanie naye ni mkali wa kusakata Salsa nilimwona jana usiku anatishaa kinoma. |
| Nilimpa hi kaka kuonyesha kumuunga mkono |
| Jamaa alimuweka Dj Tass kando kwa dakika kadhaaa |
| Md wangu alikuwa akifuatilia kwa makini |
No comments:
Post a Comment