MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Wednesday, December 09, 2009

KYEERE FAMILY GROUP

Ni kyeere family group ni kwa wale wachaga wote wa kyeere sinde ndoo na wongo maanga na kwingine kote ni muungano ulikuwa na umoja kama ndugu


kwenye shida na raha mimi nilikuwa kama mjumbe tuu ni kikao cha pili tangu kuanzishwa kwa kyeere family group GOD BLESS THIS KARIBUNI WOTE WANDUGU TUJUMUIKE NDANI YA FAMILIA MOJA

No comments: