MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Wednesday, December 09, 2009

48 YA UHURU

Ni miaka 48 ya uhuru yaani kuwa uru sijui ni kama tuko huru kweli maofisini na majumbani mimi sijui ili ni la kumuuliza jk ila nahisi tuko huru

Amiri mkuu wa majeshi akiingia uwanjani huku akipungia mamia ya watanzania waliokuwa uwanjani kusherehekea miaka 48 ya kuwa huru

Jk akikagua JWT  wanawake ilikuwa miaka 48 kweli ya kuwa huru ilikuwa imetulia ile mbaya walikuwa wakakamavu mbele ya Amiri jeshi mkuu

Maelfu ya watanzania wkiwa wanashuudia maadhimisho ya miak 48 ya uhuru


Mimi naitakia TANZANIA YETU AMANI  TELE  IENDELEE KUDUMU TUDUMISHE UHURU WETU na umoja

No comments: