MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Monday, November 09, 2009

SOMO LA KUPATA MCHUMBA BORA

Ni week chache sana tangu nifikirie kuweka hewani somo la kupata mchumba bora nahisi kuna kitu nilisahau

Katika hali ya kibinadamu tumesahau
kumshirikisha aliyetuumba kwenye
maswala kama haya silaumu sana
maana kali ya kibinadamu imetutoka
simaanishi yumekuwa kama wanyama ila
umesahau kupata mchumba bora
kunahitaji maombi na unyenyekevu
tena sana na utii ndani yake wanawake
wengi haja yao kubwa ni kupenda
kumbuka hapa nawaongelea
wale wenye kuwa tayari kwa  maisha ndiyo
haja kubwa walionayo si pesa
wala si nyumba bora ila haja yao kubwa ni
kupenda hata kwenye biblia yangi inanieleza kwamba
"enyi waume wapendeni wake zenu
" nini maana yake kwamba
wanawake aswa wale wanaotaka mapenzi
ya kweli haja ya mioyo yaho ni kupendwa
na wala si vingine sijui itamfaha nini mtu
akipata mali za ulimwengu wote alafu akakosa upendo

Wanaume wengi haja yao ni kupewa utii sijui
kama nitaeleweka kwa hili ila haja ya wanaume
wengi ni kuheshimiwa na kuogopewa kwa
lile hatakalo lisema nini maana yangu
ninarudi tena kwenye neno la uzima
biblia yangi inaniambia "enyi wake watiini waume
zenu kama iwapasavyo wanawake wanao
ukiri uchaji wa Mungu" ni jambo la kusikitika
now adays hakuna mtu aliyekuwa tayari kutii na wala kupenda
sisemi vibaya kwa hawa ndugu zetu walio na majina kidogo
ninamaanisha wasanii sijui ni wangapi wanatambua huwa
hawadumu sana ndani ya love na mtu mmoja kwa kipindi kirefu

Nina mifano mingi ya ndugu zetu ila
sababu kubwa ni kila mtu kutokuwa
mtii na upendo kama inavyo itajika
sijui kama wewe mwanaume unaweza
kupata utii kama aumpendi uliye
naye na wewe mwanadada siji kama
unaweza kupewa upendo kama autii

Dhumuni kubwa la mada hii ni
kwamba tujitambue utandawazi ni
kwa kila mtu sasa ila tusisahau
hata yale yaliyoko kwenye vitabu
vitakatifu na kusemahaki sawa , ni kweli
wewe kama dada unahaki ya kupewa
upendo na wewe kama kaka una haki
ya dada kukutii lakani si kushindana
ATUTASHIDA KWA STAHILI KAMA HIZI TUBADILIKE

No comments: