Ni miaka kumi sasa toka mwasisis wa tahifa hili hayati Julius Kambarage nyerere hatutoke
intellectuals have a special contribution to make to the development of our nation, and to Africa. And I am asking that their knowledge, and the greater understanding that they should possess, should be used for the benefit of the society of... which we are all members."..........Late father of Nation President nyerere said
Komba aliimba kwa hisia
Ni siku ya kukumbuka mengi na kuyaenzi yale mwalimu aluyoyatilia mkazo
Baada ya kutoka kazini nikaona bora nikakutane na mama watoto tupeane wawili matatu ya
hosia wa baba wa taifa ambayo ni muhimu ili kuendeleza gem hili
Hapa si ugaibuni jamani ni katika hali ya kumuenzi baba wa taifa
Haya tulimaliza kiivyo na malkia wangu
Baba wa tifa alishawahi kusema kwamba matajiri wanaungana kutawala wanyonge nasi
wanyonge awataki kujiunga kuwakabili matajiri Tuna kila sababu ya kuwa huru
No comments:
Post a Comment