MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Sunday, October 11, 2009

MAOMBI YA WATAKATIFU NI MANUKATO MBELE ZA BWANA

Nina amini kweli maombi ya watakatifu ni manukato mbele za bwana

Biblia yangu inaniambia niombe bila kukoma niombee maadui na marafiki vili vile

Mimi kama lema kuna kitu uwa najiuliza kama Yuda aliweza kumsaliti Yesu kwa fedha itakuwa mimi kuteseka kwa ajili ya watu wanajitahidi na kufumba macho kma awaoni ila biblia yangu inanifariji tena katika maandiko matakatifu kwamba kutokujua sheria siyo sababu ya sheria kutokukuadhibu na kuchukua mkondo wake




Hivi ni wangapi tunaamini Mungu akuumba mtu aishi kwa haki ila kwa mawazo

Kweli sisi ni viumbe thaifu tunasahau kwamba tumesha vunja agano la Mungu baba muweza yote na kwenda kinyume, binadamu wamekuwa kama wanyama si majumbani si barabarani hata makazini tunasubutu kutesana wenyewe kwa wenyewe kisa nitatubu baadae ila tukumbuke kwamba Bwana Mungu alisema hivi

"Nazishuhudia mbingu na nchi juu yenu hivi leo kuwa nimkuweka mbele zako uzima na mauti baraka na laana basi chagua huzima ilihuwe hai na uzao wako '

Embu chukua muda wako na ujiulize umechagua lipi kati ya hayo ni mangapi umefanya kuumiza uzao wako je ni jipe jema unalolifanya ili uzao wako ubarikiwe Mungu atusaidie sana

Wakristo wamekuwa watu wa kwanza kuukumu na kutoa maamuzi ya Muumba wamechukua jukumu la Mungu na kujiona wana haki ya kufanya ivyo ikifika zamu yako utakuwa mgeni wa nani ndugu yangu

Muda ni huu wa kubadilika si kesho ila sasa chukua hatua ili ubarikiwe wewe na uzao wako

Mwisho napenda kusema BE BLESSED FOR TAKING YOUR TIME AND READ THESE WORD

No comments: