MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Wednesday, September 09, 2009

MAPOKEZI YA KANUMBA

Yule msanii tuliye kuwa tunafikiri ndiye mshiriki wa big brother kutoka hapa bongo amerudi jana kutoka South Kanumba aliyetuwa uwaja wa ndege majira ya jioni alipokewa na wasanii wenzake wengi pamoja na waandishi wa habari nilipata nafasi y kusikia mawili matatu kutoka kwake na alisema big brother is just a big fun mapokeze hayo yalikuwa ni makubwa kulinganisha na matarajio yake mwenyewe .Bado tunamsubiri  mshiriki kutoka Tanzania aingie big brother mimi na wewe bado atujui ni nani ila jumapili itatupa jibu kamili

No comments: