MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Sunday, September 06, 2009

BIG BROTHER REVOLUTION NDANI YA PARADISE HOTEL

Mambo ya chef Ramadhani na wasaidizi wake 

Waliandaliwa kama hivi si unajua mambo ya hotel

Ray naye alikuwepo wakati wa ufunguzi
sasa ikafika mida ya kutajwa washiriki kutoka sehemu mbali mbali ila kanumba tulimuona i just cant understand what happen mshiriki kutoka tz akutajwa ila Dada Furaha wa dstv alininongoneza heti next week atatajwa mmh ya kweli haya angalia ray alivyo shangaa baada ya kuona hakuna mshiriki wa tz
mzee wa komesho alimuwish all the best kanumba kwa kutegemea yeye ndo mshiriki ila mimi na wewe atujui
What ganna happend si ndo mambo ya revolution
 
wawezeshaji wa kupanga buffet walikuwa makini mmmh walifanikisha kinoma big up mama Asha a.k.a mama kishunde na Mwajabu a.k.a  kiba
walikutana hapa mziki hapa filamu ni Ay na Ray mmh makubwa Ray alikandamiza Windhoek lager kama kawe haa mzee wa komesho yeye alikamata tusker baridi
mi mweyewe ckuwa mbali
mambo ya makate ni makubwa sana we acha watu walikula ujuju kalimati kwa sana mmh
sikukosa zawadi jamani
Hapa ndipo moja moto moja baridi zilikuwa zilipo kuwa zinatoka moja moto moja baridi khaa Mufolo 
ulikuwa juu panda mti kata mti
 
ujuju kalimati na kashata za nazi kama kawa
kaukumbi kalifana jamani
hayo ndo mambo ya big Brother revolution embu tuone next week ataingia nani kutoka hapa home stay close basi 

No comments: