MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Monday, September 19, 2011

NASORO NA ZAINABU WAMEREMETA

 Mnamo Jumamosi ya tarehe 17 September Nasoro na Bi Zainabu walingara ndani ya ukumbi wa Serengeti Ball Room mambo yalikuwa moto moto tulikula na kunywa kisha Nasoro akakabithiwa Jiko lake na kuuga ukapera rasmi


Nasoro na Bi Zainabu wakiingia katika ukumbi wa serengeti Ball Room 


Ukumbi uipendeza sana na ilikuwa simple naweza sema mambo ya kizungu haya

Bibi na Bwana Harusi wakipata mlo wa jioni



Hapa MC wa sherehe alikutana na Mzee wa Dubai

Ukumbi ulimeremeta sana haya ndo mambo ya JB Belmont Hotel



Wageni walikuwa wengi na kia mmoja alipata kitu roho inapenda
Haya sasa hawo wote ndo wazeee wa dubai mmmmmh


Dada Lidya na wazee waDubai wakipata Dinner


Dada Lidya BBM mmh hayo ndo mambo blackberry kama auna tafuta mapema aizishuki bei raha zake ni nyingi kuliko karaha

Chivozeeeeeeeeeeeee mmh sms wapi usiku wote usiofu bana utaolewa tu



Baba alitoa yake machache ya kuwahasa Bibi na bwana harusi kuishi kwafuraha kwani kuna milima na maponde ivyo kwenye milima waliswa wawe wavumilivu na mteremko wateremke wote mmmh

Jamani mambo bado


Nasoro akishukuru wageni waalikwa na piaalitueleza kwamba shukurani za kipekee zimuendee MD wake aliyoyafanya yote Mr JB


Kaka lema MC namimi nilipasha na bandi



We kijani weeeee nini hiyo jamni mambo ya mduara mmh show zilikuwa zakutosha kabisa

Mambo yalikuwa juu ya mstari na kiukweli kila aliyeingia ukumbinki alifurahi 

1 comment:

Anonymous said...

Yaani huyo staff wako anavyojiachia nyuma ya hao wamama kama yuko nao vile hajatulia kabisa