MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Sunday, August 15, 2010

WEEKED KIIVI

Weeked hii aikuwa mbaya sana kwa lema one kwani nilikwenda kutembea nje kabis ya jiji letu la Dar es Salaam maeneo ya Kisarawe 
Kiukweli mji unajengeka haya ni maeneo fulani kama unaelekea jeshini Dukani kwa wataalamu lazma kwanza ufike hapo kisha upate bia za buku buku 




Kiukweli safari ilikuwa bomba kabisa kwani nilikwenda kuangalia mji ukoje pembezoni mwake maendeleo yanizadi kupanuka kadri siku zinavyozidi kusonga mbele

Nilirudi home mida ya jioni hivi full mbili tatu za buku buku jamani nikawa nimejiachia geto na mabongo movie kama hivi
haa mimi tena kwa midoli na mito ndo wachumbaa tu hivyo ndo weekend ilivyo isha kwa furaha

No comments: