MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Thursday, November 26, 2009

MI SIWEZI KUAMINI NI MAPOKEZI YA RAISI AU ELIZABETH ???????









Haya hapa Eliza alikuwa anaingia pareadisec city hotel mmmh m,i sisemi maana dada naniino ulijitahidi shosti mmmmmmmh

\
Mimi  naitwa Afisaaaa ila kumparapati liza lazma hata kama
ajakuwa mshindi jamani mmmh

Haya dada wa mak........ i talijitahidi naye si mbaya kwa siku moja

Mama kwani vipi mlisoma wote mbona umemparapati hivyo


haya wa kwetu na matukio

mhhhhhhh

Dada karibu kwenye kitabu cha visitors

Liza alifanya press conference kidogo

Watu tuliosha si mchezo ila si ishu mara moja kwa mwaka mmmmmh

No comments: