MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Friday, August 13, 2010

WHAT IS GOING ON HERE

 Jamani watanzania wenzagu hii ni mara ya tano sasa kupata vitu kama hivi nilikuwa katiak mtandao mmoja wa marafiki.com nilikumbana sana na watu hawa huwa wanaweka picha nzuri na sijawahi kujua mwisho wao ni nini embo soma below email alafu niambie nini cha kufanya
 
Dearest,
How was your night over there in your country and the day? i believe you had a nice night and that the atmosphere over there in your country is very nice today? Mine was a little bit warm over here in Dakar Senegal. My name is Suliati Mabou i am (25yrs) but age doesn't matter in a real relationship, so i am comfortable with your age,I am from
liberia, 5ft.4 tall, fair in complexion, single, (never married) and presently i am residing here in Dakar as a result of the civil war that was fought in my country some years ago. My late father Dr Fredrick Mabou was the managing director of mabou cocoa industry (Ltd) the capital city of my country, before the rebels attacked our house one early morning and killed my mother and my father in cold blood. It was only me that is alive now and I managed to make my way to this country(Senegal) through the assistance of united nation troop, where i am leaving now as a refugee under a Reverend father's care and i am using his computer to send this message to you.
I would like to know more about you. Your likes and dislikes, your hobbies and what you are doing presently. I will tell you more about myself in my next mail. below are my picture. Hoping to hear from you soonest

Yours forever

Suliati.


 

17 comments:

Anonymous said...

Cham Lambertini Lee kaka hawana lolote ni wezi wa Nigeria hawa hata mm nimekuwa nkizipokea nyingi tangu wakati ipo eastafricanspace na hata kupitia facebook na g5click alaf ukiangalia msg zao wote zinaendana na wanasema wamefiwa na wazazi na kuna benki wanaidai hela alaf hela zenyewe hawasemi ndogo,si chini ya dola mil 4!! kaka wapotezee mimi nshawahi kuwatukana eti wengine wanajifanya mapastor na juzi tu nimetoka kuwaharibia wengine..Pole kaka..

Anonymous said...

Sayuni Masawe even me brother Cham, nimekutana na hizo mail mara

Anonymous said...

Felecian Fimbo kaka hao wajomba[ECOWAS]

Anonymous said...

Jozef Mugoo Man, this is a total lie. Hata me nshakutana na mmoja anajiita Susan Kasala. Ukiendelea kuchat nae atakwambia baba ake aliacha hela nyingi London, so umsaidie kuziretrive maana yeye ni Mkimbizi then atakupa contacts za mtu wa benki na Lawyer ambaye atakwambia utume 200 euros kama charges. WIZI MTUPU man.

Anonymous said...

Jimmy Gumbo Kaka Choo cha kike hicho!!!!

Anonymous said...

Cham Lambertini Lee ‎@Sayuni..Pole wangu mm ndo kama wametumwa kwangu tangu mwaka juzi alafu nkiwa Tz usumbufu huwa mdogo ila nkidondoka tu e wanaanza alaf unaeza ukawajibu vibaya lkn watavojibu ni kama umewaambia sawa,i thnk hata ukiwatumia mail hawasomi wanachofanya wao ni kupost tu zilizoandaliwa nyang'au wakubwa hawa...

Anonymous said...

Cham Lambertini Lee Jozef,,u r ryt kaka huwa wanataja maeneo hayo bank of England au mbank of Scotland alaf wanasema wapo refuggees camp Dakar Senegal..!!

Anonymous said...

Cham Lambertini Lee Mi mara ya kwanza alinijia dada m1 anaitwa Sharon Khalfan ni mkila hao juu wote choo,kidume nkafurahi najua zali limenidondokea nkawatonya na wana kumbe nlikuwa nasogelea tu choo cha kike!!!

Anonymous said...

Jozef Mugoo Noma, then kama kawa wapo na pastor ndo wanatumia computer yake. Mzee mpaka nliongea na pastor bt nlivyomwambia huyo lawyer kwa nin asideduct hizo charges zake from the amount wakaingia mitini.

Anonymous said...

Jozef Mugoo Noma, then kama kawa wapo na pastor ndo wanatumia computer yake. Mzee mpaka nliongea na pastor bt nlivyomwambia huyo lawyer kwa nin asideduct hizo charges zake from the amount wakaingia mitini.

Anonymous said...

Sayuni Masawe Mi hizi hizi picha ninazo na mail zao, wajinga kweli @ Cham

Anonymous said...

Elizabeth Lema Wezi hawa. Be very carefully, some time wanatumia nguvu za giza ukiwapa mwanya wa kukucontact!!! usiwape nafasi wasije wakakuaharibia future yako. Wanatumiwa sana na wachawi. be carefully!!!!

Anonymous said...

Dennis Kimati kaka huu ni wizi, hata mm nimeshakutana na ushawishi wa aina hii.,.stay away!

Anonymous said...

Apolo Mahilane Dah! Afadhal mme2julisha nasis wengine cjazpata hizo snep bt dah! Kweli 2we careful na hayo mashetani.

Anonymous said...

Loyd Mbwana umeligindua hilo wapo wengi sana hawa na wamewaingiza wengi sana mkenge.

Anonymous said...

James Pastory Man hata mimi nilishaipata moja wangu ni wazushi wezi tu hawa nilipata ya huyo mtoto hapo chini nikamuenjoi sana tu coz nilishajua ni usenge tu, we mtu anashida anang'aa kushinda hata mie ninae bangaiza kiaina na good life......

poWEROFGODFIRECHURCH.BLOGSPOT.COM said...

Jamni wanatumia majina ya senegal vibaya kiukweli nadhani kuna watu wameshaingia mkenge kwa hili jamani daa asanteni maana labda this tyme ningeanguka sasa