MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Monday, December 27, 2010

LETS TALK ABOUT LOVE WITH ANGELA BONDO

Amgela Bondo show dada anayemfuata Opra kwa karibu sana anakuletea lets talk about love ndani ya
Paradise city hotel ,show itakuwa hapo kesho kuanzia jioni na bahada ya show wote tutaparty savanah lounge .Show itakuwa na Big Brother 4 Calvin kutoka Nigeria atapafom live na Elizabeth Gupta

 Elizabeth na Calvin wakiwa ukumbini serengeti ball room wakisalimiana na wawezeshaji wa shuguli hiyo kwa upande wa Decoration

 Lema one Michael na Calvin kwenye pozi la pamoja
 Angela kaanza vituko vyake kabla ya show jamni mwangalieni
Opra kwa vituko


 Calvin na Elizabeth wakiwa ndani ya Mgahawa wa kima taifa Summit Restaurant

Hiyo hiyo Baba inakufaha aina bere kama za kinageria

Show hii italetwa kwenu kwa uzamini mnono wa Paradise City Hotel Karibuni sana na hakuna kiingilio after show wote tutaruka kwanja ndani ya Savanah lounge

No comments: