MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Sunday, October 04, 2009

DUNIA MAPITO JAMANI

Nisiku nyingine tena ambayo mungu ameibariki na ikaitwa jumapili
ki ukweli ninaweza sema ninabahati kuiona siku kama hii naweza sema
sikutaraja ila kwa rehema zake na fadhila zake nimefika tena siku kama hii

Kun kitu kimoja hapa duniani sisi wanadamu tumekisahau na kuhisi kama duniani ni kwetu kumbe ni makazi ya kupita , tumesahau kwaba wote hatuwezi kulingana kitabia mpaka ujuzi na tumezusha usemi wa aliyepewa kapewa kule
tumekosa muongozo zamani kipindi nakuwa mimi kama lema one tulikuwa tukifundisha maadili mema sana na wazazi wetu ingawa naweza sema mengine nimejifunza mwenyewe lakini siku hizi binadamu tumekosa utu imefika kipindi
mtu anatamai wewe huondoke duniani kisa tu kuonekana mzuri kwa binadamu mwingine ambae ana mwili kama yeye kweli mambo haya ni ya kutisha
wamesahau kwamba Mungu ndiye muamuzi na wala si wao mimi kama lema nawaombea mazuri maadui zangu ili nitakapofanikiwa wajioonee wenyewe

Unajua mtu anaweza kusema huyu kijana amekosa sera ila tukumbuke malipo ni hapa duniani na biblia yangu inanielaza kwamba na kunisii nisome na niendelee kusoma kitabu changu kitakatifu kwa kusama ; Bwana ndiye mchungaji wangu sinto pungukiwa na kitu katika mailisho majani mabichi unilaza uniuisha nafsi yangiu na kunongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake naam nijapopita kati ya ponde la uvuli a mahuti sinta ogopa mabaya maana we huko pampja nami gongo lako na fimbo lako lanifariji  ..............unaweza ukaendelea na maneno haya katika zaburi ya 23


Nini maana yangu sisi binadamu tumepewa talanta mbali mbali ila wengine wanatumia  talanta za watu wengine kwa manufaa ya maisha yao wenyewe
Kwa kweli nimbaya utafika kipndi talanta yako itachukuliwa jiulze utakuwa upande upi wewe kaka wewe dada .
Tujitahidi kupendana na kuombeana mazuri

Ingawa umbea ni sehemu ya maisha aswa ya kitanzana embu fikiria muda wa kufanya umbea ukawa angalau bize na kutafuta maisha na si kutafutia wengine matatizo tanzania yetu ingekuwa ya wateule si walaamu watu wenye majungu ila nawalaumu wasikilizaji

always remember in this word  you dont have to be neither much proud nor inferiority you must have a courageus heart in every situation you go through , people they are the same they will never change

Mwisho nawatakia weekend njema wadau wangu woye na ningependa msome neo ili kutoka katika biblia zenu kama huna azima[ 2kor 9.7 ] si aibu maan mimi nasema siionei haya injili maan ani uwezo wa Mungu uletao wokovu

1 comment:

Anonymous said...

KWELI MIRIAM ANASTAILI HILO TAJI HONGERA SANA MIRIAM, ALL THE BEST.