MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Monday, January 04, 2010

TUMEFUNGWA LAKINI TUKO JUU

Mechi iliyochezwa mapema hapo jana usiku kati ya timu ya taifa ya tanzania na Vijana wa Ivory coast
ilimalizika huku tukiwa tumelala doro ya pao moja , mpira ulianza kwa kasi ya ajabu huku vijana wa taifa stars wakishambulia kwa kasi kweli kweli katika kipindi cha kwanza alikini hata ivyo juudi zote izo hazikuzaa matena ndipo mshambuliaji hatari wa Ivory coast Drogba alipolinda heshima ya timu yao kwa kuipatia bao kwa njia ya kichwa

Golikipa wa taifa stars akiwa anahamaki baada ya Drogba kilinda heshima 




Hata ivyo tanzania ilikosa magoli kama mawili kwa washambuliaji wake hatari goali ambalo bado litakuwa kama maumivu kwetu ni pale ambako mshambuliaji hatari wa yaifa starz Jerry Tegete alikosa goli baada ya kupambana na mabeki wawili wa Ivory Coast na kuachia shuti kali lililogonga mwamba na kurudi uwanjani bahati mbaya kulikuwa hakuna mshambuliaji wa kumalizia 



Nadir  Kanavaro alikuwa na kazi moja tu kumyima Drogba hewa kijana anastahili pongezi 




Hata ivyo Goli ambalo Mrisho Ngasa  hata lisahau maishani mwake ni pale alipo baki yeye na kipa wa Ivory coast na kuduwaa bila ya kufanya lolote kiukweli vijana walijitahidi sana na kuonyesha soka la kimataifa mbele ya Mh Kikwete rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania

Tunastaili pongezi za dhati sana kwani sok ambalo limeonyeshwa ni la kimataifa zaidi

TOGETHER WE WILL REACH OUR GOAL
                                                    

No comments: