MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Wednesday, October 19, 2011

WINNERS PARTY YANGARA

Winners Party ilifanyika katika kiota cha maraha Jb Belmont Hotel ilikuwa ni kupogezana na kubadilishana mawili matatu ambayo warrembo wetu wa ilala walijifunza kambini safari hii ilikuwa kama unavyoona browz chini yafadhali uone mamboziiiiii

 katika section zilizovuta na watu wakavutika



 Mambo ya Black forest






 Hapa Uncle Michuzi akiwa na Miss Tz No 3 Alexia



 Mambo ya Da Hellen na Chifozeeeee



 Alexia na Director wa Blog hii Lema one
 Sinta na Jb nao walikuwepo hapa Jb alikuwa akimuuliza vipi nasika umerudi kwenye gemu






 Miss ilala wa kwanza kabisa 1999 mwenye ku BBM
 Kisaruji na Mic walituburudisha sana




 Mimi napenda kumuita Aucle JJ ila kwa jina lake yeye analopenda ni the Great akiwa na kaka lema one

 Mariam na Kanumba
 Mzee wa Dubai na Michuziiii


 Mambo ya maakuliiii

















Miss University Nelly akiwa na Mwelu pamoja na Hellen  
Miss Alexia 
Washiriki wa Miss Ilala 2011

 Bawaziri akizungumza na wageni waalikwa 

 Mambo ya kusakata tumba
Miss ilala pamoja na matroni wao 


 Mr Kalikumtima akiwa na washiriki wa Miss ilala 2011 katika hafla hiyo iliyoandaliwa kwa udhamini mkubwa wa Jb Belmont Hotel







Bawaziri na Lema One



 Hafla hii iliudhuriwa na madiwani kadhaa wa wilaya ya ilala pamoja na watu maarufu kwenye tasnia ya urembo na filamu kiukweli ilifana sana pongezi zote na shukrani ziwafikie Jb Belmont Hotel














No comments: