MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Tuesday, November 01, 2011

SAFARI YA KAMPALA UGANDA

Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu Muumba wa mbingu na nchi na pili napenda kuwashukuru wazazi wangu kwa kunilea nawapenda sana Baba na Mama Lema one na tatu napenda nimshukuru Bosi wangu thank you my Boss ni kwamba ujui nikihasi gani umenibadilisha ni jambo ambalo aliwezi kuzungumzika kiukweli nashindwa nikulipe vipi ila Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu na kila unalo lifanya liwe la kheri nne napenda Kumshukuru Dada yangumpendwa Lidya Mungu akuongoze kwenye kila njia na ndoto zote zako zitimie na mwisho sinti wenza kutaja mmoja mmoja ila wafanyakazi wote wa Jb Belmont wanaoniombea mema na wanaonipenda naamini sina maadui ila nina watu wasionielewa na nawaombea kwa Baba yangu anayegawa riziki aweze kuwaonyesha njia yoofu nawapenda sana

Baada ya shukurani na mambo mengine kama hayo napenda kuelezea safari yangu niliyopelekwa UG na Boss wangu jinsi ilivyokuwa maana ya blog ni picha bana embu twende tuone kulivyokuwa na raha, kwanza tulifikia hoteli ya kisasa kabisa Serena Kampala makaribisho kila kona check mwenyewe 

Baada ya hapo niliendelea na mambo kadha wa kadha kuangalia mandhari ya kampala na vitu kama ivyo

Chumba changu kilikuwa kama hivyo


Nikiwa nimejipumzisha nje ya Chumba cha hoteli huku nikivuta upepo mwanana wa kampala

Siku ilisha huku nikizidi kushangaa sijui ni mimi mwenyewe au mpaka na wazee wa kaboa kesho asubuhi na mapema kama kawaida kifungua kinywa 

Haya Mzee wa Dubai na vituko vya hapa na pale

 Lema one chezea yeye

Baada ya hapotuliitaji kujua jiji la Kampala likoje na viitongoji vyake bwana wee ni sehemu ndogo iliyozungukwa na milima minne ila inavutia kiujumla it is da place to be




Tukiwa nje ya Hoteli Tuliyofikia 

Baada ya siku kukaribia kuisha tulialikwa kwa Harusi na wenyeji wetu huko mambo yalifana ile mbaya 

Hapa nikijiandaa kwenda kwa harusi mmh kaka lema one
Hapo Kanizani wanandoa wakipata Baraka


Tukiwa na Mchumnaji mkuu wa Kanisa la huko Kampala thehebu gani kiukweli sikuwa makini na ilo ila nililolishika alikuwa mlisha neno mzuri sana kiukweli nilifurahishwa na maneno yako




Hapa Maharusi wakiingia ukumbini kwa shangwe




Ngoma zakinganda we utaipenda mtu wangu




Kisha mambo ya blooooooooozzzzzzz
Harusi ilipita na urembo wake na kisha mambo yote yakawa sawa kiukweli safari ilikuwa na mengi ya kujifunza maishani kiujumla

 
Tukiwa pamoja na Baba yetu Mr JB wakati wa mlo wa jioni 

Safari ilikuwa nzuri na tulirudi sallama na kazi zinaendelea mabaya tumewaachia na mazuri tuko nayo hata hapa nyumbani na tunayafanyia kazi

No comments: