MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Tuesday, December 13, 2011

IBADA YA SHUKURANI KWAAJILI YA BABA YETU MPENDWA

Kila Goti litapigwa huu ni usemi ambao humo katika biblia takatifu na sisi binadamu mpaka kufikia hatua hiyo basi Tumeshapigwa na mambo mengi ya dunia na kuyaona magumu sana ,na kwa wale wanao amini neno hakuna jambo lolote lililo gumu kumshinda Mungu Baba ,Ndivyo ilivyokuwa kwa baba yetu mzee Donifiki lema ,kiukweli alipitia mambo mengi na makubwa na siku zote waswahili wanasema ujafa ujaumbika basi ndivyo ilivyokuwa kwake alipata mateso mengi na makubwa sana , na namshukuru Mungu kwani alimpa mke mwema naye alisimama katika neno akafunga na kuomba kwani ilifika kipindi hata dawa za hospitali zilikuwa bure tu , ila kwa msaada wa Mungu alishinda . Mama alisimamia haadi yake aliyo ahidi madhabauni kuwa atampenda katika hali yoyote kwenye shida na raha kwenye UGONJWA na taabu na Mungu alisikia kilio chake . Sisi kama watoto wafamilia atukuwa na lolote lakufanya zaidi ya kumtia mama Moyo tu alilia na kuliita jina lake Masihii alipiga goti usiku na mchana na Mungu mwenye huruma kuu akamuhurumia na kumuuisha mume wake tena . Kama ungelibahatika kumuona mzee wetu kipindi yuko kwenye majaribu basi kwa kinywa chako ungesema yuko Mungu wa Baraka .Kwa haya yaliyomtokea my Mumy naweza fananisha na yale yaliyomtokea Ayubu nivile tu Mungu akugusa uzao wake ambao ni sisi watoto wake tunamshukuru Mungu mama alisimama katika misingi ya ukristo wa kweli na kumshukuru Mungu kwa kila jambo hakukata tamaa hata kidogo . Baada ya kipindi chote wapendwa sisi kama familia ya lema tuliamua kumsxhukuru Mungu kwa yale aliyoyatenda kwa mzee wetu na hizi ni baadhi ya sehemu za furaha yetu 

 Wadogo zake Baba wakiwa katika yuso za furaha
 lema one on move
 kaka yake na Mama mzazi akiwa sanjali na Ant Amina pamoja na mzee lema


 maandalizi ya ubwabwa









 My Mumy I and my young sister



 Familia ya Mzee lema ,Anold lema ,Mzee lema ,Mama lema and Beth lema
 happy pipoooo

 Familia aliongezeka wadogo zangu pamoja na Babito na Mamito



 Happy my Antzzzzzz

 Beth lema ,Anold Lema pamoja na Iren Lema


 Wadogo zangu wa kitaaa

 kutakiana Afya njema cheazzzzzzzzzzzzzzzz
Neno tulilopewa kwaajili ya siku hiyolilitoka zaburi ya 118, 17. Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
Nu voi muri, ci voi trai si voi istorisi faptele Domnului.

18. Bwana ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.
Domnul m-a pedepsit, da, m-a pedepsit, dar nu m-a lasat prada mortii.

19. Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru Bwana.
Deschideti-mi portile dreptatii, ca sa intru si sa aduc multumire Domnului.

20. Lango hili ni la Bwana, Wenye haki ndio watakaoliingia.
Aceasta este poarta Domnului: cei drepti vor intra printr-insa.

21. Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu.
Te laud pentru ca m-ai ascultat si ai fost salvarea mea.

Tunawashukuru wote walikuwa bega kwa bega na sisi  na maadui waliotuombea mabaya yatufike Mungu ndiye muushaji na vile vile yeye ndiye anayejua kesho yetu ,tunawasamehe na wala atuwahukumu .


No comments: