MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Saturday, October 15, 2011

SHEREHE YA KUMUAGA DADA BELLA YANGARA NDANI YA QUALITY SAVANAH LOUNGE

Ulikuwa ni usiku wa kipekee na kila aliyeingia mahali hapa alifurahi sana kwani hakuna aliyeweza kuamni kuwa ukumbi huu ungependeza kiasi hiki mimi sijisemehi mwenyewe tuu browzzzz taratibu utajua yaukweli



High table ilikuwa yakisasa kabisa na viti hivi uwezi kuvipata popote ni hapa savanah lounge


Moja kati ya kona iliyovutia wengi ukumbini hapa
Hii ilikuwa ni sehemu ya bi Harusi mtarajiwa kupata Dinner



Hapa ukoo wa mfinanga wakicheza kwamadaha huku wakimsubiri Bi Harusi mtarajiwa kuingia ukumbini

 Ni thithi baba thenu na mama thenu tulio Savanah twataka muelewe hapa nisehemu yakistarabu sana watani wakisakata rumba 
Watu wakafanya cheezzzzz kumtakia bibie afya njema na maisha marefu

Mambo ya cheazzzzz
Mambo yaliendelea kupamaba moto katika hafla hiyo na kiukweli kama ungebahatika kuingia ukumbina na kuonja mapishi basi ungeletamani sikumoja na wewe uwe sehemu kama hii wala aina gharama sana watu wamjini wanasema mipango si matumizi unapangilia embu browzzzz chini uone menu 

Pilau




Bi Harusi Mtarajiwa akipata Chakula chajioni



watarajiwa wakipata chakula chajioni 


Haya ndiyo mambo ya Jb Hospitality watu walipata vyakula vya hadhi kubwa sana na kila mtu aliyekuwemo katika hafla hiyo alisema waoooo , na kama wewe ni msikilizaji mzuri wa radio tuna best chef Afrika nzima ivyo aikupasi kwenda kwingine kote kila kitu ni Jb Belmont Hotel 

Hao ndio wanakamati nzima waliowezesha kila kitu Shukrani kwa dada Nina 




No comments: