MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Monday, December 20, 2010

UZINDUZI WA ANGELA BONDO TALK SHOW ULIOFANYIKA JUMAMOSI DESEMBA 18, 2010 KATIKA UKUMBI WA SERENGETI KATIKA HOTELI YA KIMATAIFA YA PARADISE CITY HOTEL NDANI YA BENJAMIN MKAPA TOWERS JIJINI DAR ES SALAAM


Msanii Kisauji na kundi lake la Babloom ndio
watumbuizaji wa Angela Bondo Talk Show
Wageni wakifurahia uzinduzi wa show hii ya nguvu ambapo Angela Bondo anafuata nyayo za Oprah Winfrey na kuibuka na Tallk Show ambayo imeanza kwa mafanikio makubwa katika siku hii ya kwanza
Naibu Meneja wa Paradise City Hotel
akiongea na kuzindua rasmi Angela Bondo Talk show
Wageni toka kila pembe walikuwepo
Angela akipiga stori na marafiki wa kweli
ambao walielezea jinsi urafiki wao ulivyodumu
kwa miaka takriban 25. Chini Mama JB akiongea na wageni wake


Umakini wa hali ya juu ulitawala kila kona












Mgeni akipongezwa kwa kushinda mchezo wa viti na kupewa zawadi la Lunch for two hapo Paradise City Hotel

No comments: