MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Friday, February 12, 2010

SAFARI ZA A TOWN NA LEMA ONE

Safari hiii nilijitahidikutembeazaidi kila kona ya a town so nilikuwa bizzy na matembezi
 
hapa ni soweto garden uwanja wa net boal huwa tuna chili kimtindo maeneo haya sometime kama huko kwenye bahari hivi 
  
Hii ni kati ya shule ambazo ziko katikati kabisa ya jiji la arusha na miongoni mwa shule zinazofaulisha kwa uzuri kabisa 

 
Hapa ni mara nyingi napenda kwenda kwa ajili ya kufanya mambo yangu kwenye net nikiwa a town, siku hii nakumbuka sikuweza hata kuka kisa matokeo ya kidato cha nne mmmh 

 
 hapa ni soweto bado 

Hapa no kibosho sijajua nilienda tumain university kufuata nini 

 
Moshi wakati naelekea kibosho 
ila nilipenda hii nilipata kutoka hapa hapa 
There is no Chagga tribe but just different groups of people living on the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following characteristics:

WAMACHAME (Business entrepreneurs)
Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi "kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu"

Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP!
Hapo shilingi Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongeza
ndio uendelee.

Yahye, unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke Kapati la mbeho!

WAKIBOSHO (Specialized bandits)
Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe utawasikia hivi
"Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi, ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo.

Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama wanamwambia " Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!

WAURU (The Elites)
Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu!
Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake wote: "Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea.

Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!!

WA OLD MOSHI (The Mechanics)!
Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.
Taabu, Wanaume ni wabishi! Kama mkia wa mbuzi!
Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na Gongo
nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!)

WAMARANGU (The handsome liars)!
Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo
la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu.
Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.
Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa
maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba
inamshinda ni jambo la kawaida.

WAROMBO: (The salesmen)!
Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa Jeshi!
Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970.
Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Wahindi hawaoni ndani!
Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya kupitia Tarakea.

Ushauri wa bure!
Rafiki yangu uamue mwenyewe lakini kwa ushauri
mwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo (wachapa
kazi). Chaguo ni lako.

 
Huyu ni dadayangu huko moshi mjini 

 
jamani mumy mmmh how you look soon nitaweka usiofu nimekuelewa 
mambo madogo tu kwa kaka lema one 

 
Tumain university kibosho jamanani cool 

  
Hapa ni AICC jamani 

 
Hapa ni ni maeneo ya AICC round abaut 

 
tumain university moshi kibosho 

 
kama sijsahau hapa ndo nilipo pata primary education 

 
hicho ndo kilinipeleka a town jamani 

Sogea sitishii jamani i will k........................ you 

 
kwa jirani si kwetu jamani 
HAYO NDO MAMBO YA  A TOWN CITY 


1 comment:

ramadhani a.k.a pac said...

angali usimfanye mpiga picha kuwa nyama choma..huo ukuta it needs some helps from innocent 'cleaning+paints'