MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Thursday, November 05, 2009

KAKA LEMA ONE NDANI YA A TOWN LIKIZO TIME

Ni hivi majuzi tu niliingi ndani ya jiji langu la marahaa A town city kwa kweli hali ya hewa ni ya kuridhisha tena sana kunawaka jua like Dar kila kukicha maendeeo juu ni jiji linalokuwa kwa kasi labda after 2 year tunaweza kusema ni londoni not half london tena , nilifika majira ya jioni mitaa ya mianzini na kupokelewa na mzee wangu ali maarufu kwa jina la cheupe ilikuwa shagwe kuwaona watu wakwetu sikukaa sana kwa mzee nilienda kumtembelea mother maeneo yale yale ya mianzini na kumsabahi kisha ikachukua mizigo yangu na kwenda mpaka kitaani siyo siri mtaa ulikuwa umebadilika  tena mno walio kuwa wadogo sasa ni wakubwa na wale waliokuwa wanakaribia hukubwa sasa wanaitwa wakina mama fulani nawakina baba fulani mmmh siyo ishu sana kwa ilimradi watoto wana baba kitu mmoja kilichoniuma zaidi ni bale niiposikia kuna jirani mmoja hivi wa kwetu walikombana na mzee hivyo mi sikuwa na taharifa hiyo na moja kwa moja nikajipendekeza kutoa salamu mmh ilikuwa kama kumtusi hivi sitaki kuelezea sana maana sikupenda kile kitendo mpaka na watoto walininunia fulani ila siyo ishu kwani wagombanao ndiyo wapatanao.


 The second day nilianza safari nyingine ya kutembele mitaa ya mjini nilienda mpaka kwa ngulelo karibia na hotel maarufu ya snow crest nikarudi mpaka maunt meru hotel kuangalia kale kaujenzi kanaendele vipi mmmh wnaume walikuwa kazini tu ila mambo bado , nikala bado kwa boda mpaka philips nikashuka mitaa ya kwenda Impala kwa taratibu nikapanda mpaka east african all suite hotel nikaenda ndani kumcheki my friend mmoja kwa jina Malongo bahati mbaya sikumkuta alikuwa ameshaacha kazi , safari haikuishia hapo nikaendelea mbele kidogo ya kibo palec nikataka kuingia nicheki mazingira moyo ukakataa kabisa nikanyoosha mpaka new arusha hotel kwa b mkubwa ila nikaambiwa alitega akuwa work , basi nikaelekea moja kwa moja mpaka maeneo ya stend kubwa kwa ajili ya kuchukua dala dala mpaka maeneo ya mianzini nikapanda dala dala linaloelekea ngaramtoni ila sikushuka tena mianzini nilielekea moja kwa moja mpaka white rose maeneo ya trible a club nikachukua boda tu boda mpaka maeneo ya ukweni kumsabah mama mkwe na dogo mmh sikukawiha sana nakaeleke nyumbani kupumzika nikafika home nakutana na msela wangu wa kitambo na kubadilishana mawili  matatu ya life ndipo nikaelekea home na kumkuta mother akiwa anakaanga kwa sana ugali huku nyama na machicha kwa sana  nili enjoy hakuna mfano .


Siku iliyo fuata nikaona siyo ishu kama nikitembelea maeneo flani niliyosoma kitambo namaanisha maeneo ya levolosi primary school vile daaa pamejengwa fulani na kuboresha zaidi kwa huduma ya akili mmmh sikuingia ndani nikaelekea maeneo ya kilombero kwa kangalia mazingira nilliingia maeneo ya makao mabya maeneo niliyo kuwa nafanya kazi ya makenika kitambo daaa pamebadilika na kuwa fresh zaidi hata gereji bubu amna tena maeneo ya hapo , sikuisha hapo tu nilishuka moja kwa moja mpaka ngarenaro shuleni kwa hakina shemeji mmh lema one bwana ok nikapita kama vile mgeni na kuelekea shule ya msingi ngarenaro na hapo alisoma naniiiii nikaelekea mpaka kilombero  nikacheki huku na kule wala kilikuwa hakuna jipya sana nikaona nisipoteze muda nikaelekea maeneo ya matejoo kwa hakina mabiwaa sikuchukua mda sana nikarudi home . Daa kweli hii ni likizo tyme ok mi badi nipo mpak kieleweke maeneo ya A city Good day wadau  

No comments: