MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Monday, January 10, 2011

KIHOMIE




 Mzee Lema na Mama Lema wakiwa wamepoozi




 sister Duu wa mtaani kwetu bana mmh






 kaka Anoooo mbona umepotea hivyo


 Pozi za kimasai uwiii lema one bana

 sijui Moshi au jiko mimi sijui


 kaka mi mwenyekiti wewe je
 zamani kitambo nilikuwa hapo sunday school
foleni zimeanza kupamba moto kama vile dar es salaam


miundombinu kila kona yaani mji unakuwa na kupanuka kila kukicha ni moja kati ya maeneo maharufu mjini kati kwa sasa kunashine kiivyo



mchaga na ndizi tena hakaaaa niacheni mimi lema jamani nilipata ndizi zakutosha kabisa kama mlo wa mchana



kaka anoooo tupige pichaaaaaa




haya sasa watoto na kaka yao jamani mmmh

hakuna lema nini tena jamani mmh mbwe mbwe za mtahani kwetu jamani







My Mumy na Mama Mdogo wakiwa wanapiga story mida fulani ya usiku jamani mmh chemli kwa mbali unakumbuka hiyo mdau yale mambo ya kufuta chemli kwa unga
Nikiwa safarini kuelekea Dar gari nililolipanda lilipata pancha Dar Express cha kushangaza sasa jamaaa awakuwa hata na jeki ya kuweza kuweka kwa gari ilibidi tusubiri gari lingine ili tuweze kupata msaada na kuendelea na safasri ya kuja dar es salaam

Tairi la gari la Dar Express jinsi lilivyopasuka




Jamani gari likiwa juu ya jeki ni balaa kama hata luxury car zinakuwa na wasi wasi kama huu jamani ili si jambo la kitoto
Hii nilikuta kwa mti  wakati tunasubiri gari liendelee kupona kumbe kuna watu amabao bado wako na tabia ya kutopeleka watoto shule
Haya safari iendelee jamani turudi dar es salaam

No comments: