MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Sunday, November 29, 2009

MAMBO YA IDD HAPA P CITY HOTEL

Haya ndo mambo yaliyotokea hapa kwetu paradise city hotel
kwenye Idd ilikuwa ni full shangwe pale watu walipoungana  kwa kusherehekea mmmmm





Hapa dada yetu mlezi akionyesha yuko makini na staff wake ilikuwa
imetulia dada huko mbele kwa ilo mi najua mambi hayo ni ulaya
tu kumbe dada unatabia ya ulaya ulaya chukua zako sifa
na kale la kadui mi nimekasoma ujumbe muruaaaaa

Ilikuwa ni shangwe kama ivyo

Hawa ni wadada wa hk ndani tya staff canteen

Kwa kweli kila mtu alifurahi kwa kilae kilicho andalliwa na
nuilisikia na wabunge wa idara nyingine walikuwepo ila sikubahatika kupata picha zao big up bwana money ulikuwa eneo la tukio na bwana controler umko juu

Chef la millenium big up kwa misosi yako

Thanks to Chef lamilenium a.k.a Ramadhani kwa picha

No comments: