MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Sunday, May 13, 2012

HAYA MAMBO YA SAFARI NZIMA YA CHINA

Najua wengi mlikuwa mnasubiri yaliyojiri huko nchi za watu haya hii hapa safari ya huko nakupeleka hatua kwa hatua ili utamu usiishe hii ni sehemu ya kwanza ya safari yetu china
 Mwalimu Nyerere VIP lounge tukisubiri kupanda pipa ili tuanze mchakato mzima wa safari ya kwenda huko tutafika tu wala msiofu taratibundo mwendo


Shemeji katika mchakato mzima
Dada akiwa Dubai Airport

Kaka lema one on move




Kazi ilikuwa moja tu maeneo ya Dubai Airport kuwapiga picha kila kona yajengo haswa kona zinazoonekana nzuri
Tulipowasili Dubai moja kwa moja hotelin kwa ajili ya kusubiria next flightkwenda hukooooo
Mji wa Dubai kwa karibu zaidi
hapo kwenye shuttle nikiangalia kwa makini mazingira ya Dubai 

Tunaenda kuliunga sasa tayari kwa safari

Haya mimi naanza safari ungana na mimi ili kujua yale unayoyataka angalau kwa ufupi ila kwa leo tuishie hapa

No comments: