MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Tuesday, September 27, 2011

JB BELMONT WADHAMINI MASHINDANOO YA NGUMI (UBO) DAR ES SALAAM

JB Belmont Hoteli imedhamini shindano la ngumi kati ya Mpwana Matumla na Francis Cheka


Mratibu wa sihndani hilo Bawaziri akinitambulisha mbele ya waadishi wa habari


 'Nasema nitamtoa kwa knock out wala hata fika round ya pili 'hayo si maneno yangu ni maneno ya Mpwana Matumla ambaye anashikilia mkanda wa UBO
 'Jamaana anatamba kila siku atanipiga round ya pili ila kila mara tunafika ushindi wa mezani sasa basi safari hii inatula kwake " hayo ni maneno ya Francis haya mimi na wewe si waamuzi wala wewetusubiri pambano hapo Diamond Jubilee mwisho wa mwezi huu

 Nikifuatilia kwa makini mazungumzo ya mabondia



 Nikinena na waandishi wa habari jambo kuhusiana na udhamini wa Jb Belmont








 Hawa wadada watacheza pambano la utangulizi

Asha Gedere mmmmh

No comments: