MUNGU WETU NI MOTO ULAO WAEBRANIA 12:29.

Tuesday, June 08, 2010

SHABIKI ALIYE WEKA HISTORIA

Huyo ndo jamaa aliyeweka record kwa sasa kwa kutoka jukwaani peku peku na kwenda kumuagi mchezaji wa brazil KAKA kweli uzaLENDO ULIMSHINDA

5 comments:

Anonymous said...

na hakupaswa hata kuchukuliwa hatua zaidi ya kuwekwa kwenye kumbukumbu za hihistoria shabiki wa kwanza nchi kwenda kumkumbatia kaka katika uwanja mpya.....angekuwa mzungu tayari historia lakini hichi tnaona kituko sasa historia zitatoka wapi kama si hizi

Anonymous said...

Rugambi Sumbuni Fidele

Nasikia eti uyo chabiki ndie aliye teuliwa kuwa man of the match hahahahahah!

Anonymous said...

Jane Binti Maringø Ngilangwa

Sema we kiazi wengne wote mihogo ina mizizi.

Anonymous said...

Louis Gerold
Dispute to the football match. Ulaya hutakiwi kuonekana uwanja wowote wa michezo maisha yako yote.. Historia my a**s

Anonymous said...

Elly Nkini

Ndugu huyo kijana alifanya jambo zuri sana,alionyesha upenz wake wa kweli.